Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Zuchu uhenda anatarajia kutengeneza vitu vya thamani kutoka kwa Lexeleodrsmile baada ya kunekana wakingea na mtengenezaji wa bidhaa hizo.

kupitia ukurasa wake wa instagram Zuchu amepost video fupi ambayo inaonesha akizungumza kwa video call na Mtengenezaji wa Bidhaa za Thamani kutoka South Africa Lexeleodrsmile.

Huenda Zuchu akapokea Meno yake ya Thamani ambapo meno hayo yanaonekana kuwa tayari kwa asilimia 100% japo bado haija elezwa Thamani ya meno hayo.

Miongoni mwa wasanii ambao wawahi kutengeneza Vitu vya thamani kutoka kwa Lexleodrsmile ni Burna Boy, Natsy c, Tiwasavege, Diamond Platnumz, Focalist.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *