Zari amesema kuwa hataki watoto wake Tiffah na Nillan kushirikiana na mtoto wa Hamisa Mobeto aliyezaa na Diamond Platnumz.

Zari amefunguka kwa kusema kuwa hataki kabisa ukaribu kati ya watoto wake na mtoto huyo wa Mobeto.

Zari alifikia hatua ya kumtaka mtoto huyo akae mbali na watoto wake, baada ya kuona ‘amewa-follow’ kupitia akaunti yake ya Instagram anayotumia jina la Prince Dylan, alilopewa na baba yake.

dailan

Baada ya tukio hilo mashabiki waakamshushia kichambo cha mwaka huku wakimwambia kuwa ugomvi wao usiwahusishe watoto kwani hao watabaki kuwa ndugu milele na hakuna cha kubadilisha ukweli huo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *