Zamalek ya Msri itamenyana na Mamelodi Sundowns katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika mwaka huu.

Zamalek imeingia fainali kwa ushindi wa jumla wa 6-5, baada ya awali kushinda 4-0 katika mchezo wa kwanza uliofanyika Misri.

Kwa upande wa Mamelodi Sundowns imeshinda 2-0 dhidi ya Zesco United Uwanja wa Lucas Moripe mjini Johannesburg nchini Afrika Kusini na kusonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya kufungwa 2-1 kwenye mchezo wa kwanza mjini Ndola, Zambia.

Kikosi: Mamelod Sundowns
Kikosi: Mamelod Sundowns

Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika itafanyika Oktoba 14 na kwa mchezo wa kwanza na marudiano Oktoba 21 mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *