Baada ya kusambaa picha zake chafu mtandaoni, Young Dee amedai tayari ameshamchukulia hatua Amber Lulu ambaye anadaiwa kuzisambaza picha hizo chafu.

Young Dee amedai tayari ameshamchukulia hatua za mwanzo Amber Lulu baada ya kumtuhumu kuwa yeye ndiye aliyesambaza picha chafu mtandaoni zinazomuonyesha msichana huyo akiwa mtupu huku rapa huyo akimshika makalio.

Picha hizo zimesambazwa jana katika mitandao ya kijamii ambapo rapa huyo amesema kuwa yeye hakutaka picha hizo kusambazwa na hakuwa nazo yeye badala yake alikuwa nazo video queen huyo ambaye amezoea kupiga picha za aina hiyo.

Amber Lulu
Amber Lulu

Kupitia akaunti yake ya Instagram, Young Dee amewaomba msamaha mashabiki wake kutokana na picha hizo kusambazwa kinyume na makubaliano yao mpaka kupelekea kuvuja kwa picha hizo ambazo si rafiki kwa mashabiki.

Naye Amber Lulu amekanusha kusambaza picha hizo kwenye mitandao ya kijamii huku akisema kuwa hawezi kufanya hivyo kutokana na picha hizo kuwa chafu sana na nzuri kuwekwa kwenye mitandao ya kijamii.

Wawili hao wanadaiwa kuwa wapenzi siku za nyuma ambapo kabla ya kutengana na kubakia kama mtu na rafiki yake.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *