Yamoto Band kuanza ziara ya kimuziki Barani Ulaya

0
345
Yamoto Band kabla ya kundi kuvunjika.

Baada ya kimya kirefu kundi la muziki wa Bongo fleva, Yamoto Band linatarajia kuanza ziara ya kimuziki katika Bara la Ulaya wakianzia nchini Sweden Januari 27 mwaka huu.

Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa bendi hiyo Mkubwa Fella, bendi hiyo itafanya show katika mataifa 6 ya Ulaya.

Wadau kituo chetu cha Mkubwa na Wanawe tunapenda kuwajulisha vijana wetu wa ya Moto Band kesho vijana wetu wanaanza ile tour ya bara la ulaya wataanza-SWEDEN-Stockholm are you ready. we Will be performing live on the 27 January in En Arena Globen Dont missssss!!! For tickets Contact Clay Onyango NOW!!!!.

“FINLAND-TAMPERE- we will be performing for the first time in Finland,on Saturday 28.1 at Klubi buy your advance tickets from Tiketti or at Klubi ama muone Mzee wa Finland Menard Mponda -ITALY-Rome-we will be performing at BUFFALO CLUB CASTLE VANTULO tickets check with OneLove Music Sound Djpred Pro Oslo ,it is going to be fire just like Yamoto band-NORWAY, get ready we are on your way,so stay tuned-FrankfurtGERMANY – we will have an amazing concert on Sat 25.February,venue address Friesstrasse 20. contact Anna Mpenzi & Mapapa Jr for more info
-ZURICH…..BONGO-SWISS INTERTAINMENT. Wanakuletea Yamoto band in Switzerland. Venue: Wegacker Street 42,
8041 Leimbach-Zurich. Saturday, Tarehe 04.02.17 Entrance: 35 SWISS FRANKS ONLY.

Mwaka 2016, haukuwa mzuri sana kwa kundi hili la vijana wanne halikuwa na mafanikio makubwa kwenye kazi zao huku tetesi zikizagaa kuwa wamedhulumiwa na menejimenti yao iliyo chini ya Mkubwa Said Fella.

LEAVE A REPLY