Tuzo za MTV MAMA Afrika zimetolewa usiku wa kuamkia leo ambapo wasanii mbali mbali kutoka Afrika wamejinyakulia tuzo hizo.

Tanzania ilikuwa inawakilishwa na wasanii kama vile Diamond, Alikiba, Vanessa Mdee, Navy Kenzo Yamoto Band pamoja na Raymond ambao wote wameambulia patupu kwenye tuzo hizo kubwa barani Afrika.

Ifuatayo ni list kamili ya wasanii waliochukua tuzo hizo.

Mtumbuzaji bora – Cassper Nyovest (Afrika Kusini)

Mwanamuziki bora wa kike – Yemi Alade (Nigeria)

wiz

Kundi Bora – Sauti Sol (Kenya)

Nyimbo bora ya Pop – Shekhinah/Kyle Deutsch (Afrika Kusini)

Msanii bora wa kimataifa – Drake (Marekani)

Msanii bora wa kiume – Wizkid (Nigeria)

sol

Msanii Bora wa mwaka – Wizkid (Nigeria)

Nyimbo bora ya kushirikiana – Dj Maphorisa ft Wizkid na Dj Buckz (Afrika Kusini na Nigeria)

Video bora ya mwaka – Niquer Ma Vie – Youssoupha (Congo)

tekno

Personality wa mwaka – Caster Semenya (Afrika Kusini)

 

Msanii bora wa Hip Hop – Emtee (Afrika Kusini)

 

Msanii bora chipukizi – Tekno (Nigeria)

 

Nyimbo bora ya mwaka -My Women – Patoranking ft Wande Coal (Nigeria)

 

mtee

Best Luphone – C4 Pedro (Angora )

 

Best Francophone – Serge Beynaud (Ivory Coast)

 

Listener’s Choice – Jah Prayzah (Zimbabwe)

 

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *