Mwanamuziki maarufu nchini Nigeria, Wizkid anadaiwa kuteketeza zaidi ya Shilingi za Kitanzania Bilioni 1.5 kununua cheni mbili mpya.

Wizkd amenunua cheni moja kwa Euro Laki tatu ambazo ni zaidi ya Shilingi Milioni 770 za Kitanzania kutokana na malipo ya cheni hiyo.

Cheni yenye muonekano kama huu anayo msanii wa Bongo Fleva, Harmonize ambayo aliinunua kwenye ziara yake nchini Marekani.

Wizikid ni mwanamuziki nyota Afrika na Duniani kwa ujumla kutokana na kazi zake anazofanya na kuwafikia mashabiki wake duniani kote.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *