Muigizaji nyota nchini Marekani, Will Smith anatarajiwa kuonekana katika filamu mpya ya ‘Aladdin’ kama Genie.

Filamu hiyo inayotayarishwa chini ya kampuni ya Disney, huku ikitarajiwa kuwakutanisha watu kama Mena Massoud na Naomi Scott ambaye ataigiza kama Princess Jasmine.

Script za filamu hiyo zimeandika na John August na muongozaji wa filamu hiyo ni Guy Richie, Filamu ya ‘Aladdin’ ni moja ya filamu kubwa zaidi tangu mwaka 1992.

Fialamu hiyo imewahi kushinda tuzo ya Academy Awards nchini Marekani kutokana na ubora wa filamu hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *