Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa wachezaji kutoka nchi za Afrika wamekuwa ni wachezaji wenye umuhimu mkubwa katika kazi yake ukocha kwa miaka 20.

Wenga alikuwa akizungumza wakati wa mkutano wake wa kawaida na waandishi wa habari kabla ya mechi ambapo pia alitunukiwa kwa kukiongoza klabu hicho kwa miongo mwili.

Nwankwo Kanu: Akiwa Arsenal miaka ya nyuma.Nwankwo Kanu: Akiwa Arsenal miaka ya nyuma.

George Weah: Akiwa katika klabu ya Moanco kipindi hiko akiwa chini ya Wenger.
George Weah: Akiwa katika klabu ya Moanco kipindi hiko akiwa chini ya Wenger.

Wenger amesena kuwa wachezaji kutoa Afrika wana moyo, wenye ubunifu na nguvu, masuala ambayo ni vigumu kuyapa kwenye mchezo.

Kolo Toure: Wakati huo akichezea Arsenal.
Kolo Toure: Wakati huo akichezea Arsenal.

Aliwataja wachezaji hao akiwemo Nwanko Kanu wa Nigeria, Kolo Toure wa Ivory Coast na gwiji raia wa Liberia George Weah, ambaye alimfundisha katika klabu ya Monaco nchini Ufaransa.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *