Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amekataa kumpa mshambuliaji na nahodha wa zamani wa timu hiyo Thiery Henry kibarua cha ukocha.

Wenger amefikia uamuzi huo baada ya Henry kuomba mkataba huo uwe wa muda maalum ili aweze kumudu kazi yake ya uchambuzi wa soka kwenye kituo cha Sky Sports.

Wenger alimtaka Henry achukue jukumu la moja kwa moja la kukinoa kikosi cha wachezaji wadogo wa Arsenal.

Their Henry: Nahodha wa zamani wa Arsenal
Thiery Henry: Nahodha wa zamani wa Arsenal

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *