Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger amesema kuwa goli la Olivier Giroud dhidi ya Crystal Palace ni miongoni mwa magoli matano bora toka aanze kuifundisha klabu hiyo.

Wenger amesema kuwa magoli ya Thiery Henry na Dennis Bergkamp ni miongoni mwa mbao aliyofurahia kipindi cha nyuma lakini la la Giroud nalo ni goli bora kwake toka achukue

Kocha huyo amesema kuwa bao hilo si la kawaida lakini kwasababu Giroud alitoa kitu maalum kwa mashabiki wake na Arsenal na kwake pia.

Ushambuliaji wa Arsenal katika ngome ya Crystal Palace ulimfanya Giroud kufunga bao hilo maridadi kutoka baada ya kupigiwa krosi iliopigwa na Alexi Sanchez.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *