Malkia wa filamu nchini, Wema Sepetu ameamua kufuta picha zake zote kwenye akaunti yake ya Instagram  yenye followers milioni 2.5 huku sababu haijulikani ya kufuta picha hizo.

Kufuatia kufuta picha hizo mashabiki wa staa huyo wamekuwa na maswali mengi juu ya alichokifanya mkali huyo uhenda amefanya hivyo ili aanze kuweka picha mpya za mwaka 2017 ulioanza siku ya jana.

instagram

Hata hvyo aieleweki kama Wema Sepetu atazirudisha picha zake hizo za mara ya kwanza au hatoweka picha zozote kwenye akaunti yake hiyo ya Instagram.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *