Kundi la WCB limetoa show ya kufa mtu usiku wa Christmas katika viwanja wa Samora vilivyopo mkoani Iringa.

Baada ya show yao ya Jangwani Sea Breeze jijini Dar es Salaam kundi hilo liliamishia nguvu zake zote mkoani humo kwa kutoa show ya hatari ambapo viwanja hivyo vilifurika watu si wakaida kuja kumuona wakali hao toka WCB.

cb

Show hiyo iliongozwa na kiongozi wao Diamond Platnumz pamoja na Rich Mavoco, Ray Vanny, Harmonize pamoja na Queen Darleen.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *