Waziri mkuu wa Mauritius kukabidhi madaraka kwa mwanawe

0
152

Waziri Mkuu wa Mauritius, Anerood Jugnauth amesema kuwa anaoandoka madarakani na kumkabidhi mwanawe Pavind madaraka.

Waziri huyo mkuu mwenye umri wa miaka 82 alichukua wadhifa huyo toka mwaka 1982.

Jugnauth amesema anajiuzulu ili kutoka nafasai kwa kiongozi mwenye umri mdogo na mwenye nguvu.

Mwanawe kwa sasa ni waziri wa fedha. Vyama vya upinzani vimekosoa hatua hiyo lakini hakuna kile vitafanya kuzuia hatua hiyo.

Jugnauth ni mkuu wa chama kikubwa ziadi katika muungano unaoongoza.

Mauritius, nchi iliyo habari Hindi ni koloni ya zamani ya Uingereza. Atakabidhi mwanawe madaraka Jumatatu asubuhi.

LEAVE A REPLY