Waziri mkuu wa Jamhuri ya Muunganio wa Tanzania, Kassim Majaliwa leo ameongoza ibada ya sikukuu ya Eid Al Hajj katika viwanja vya Mwembe Yanga wilaya ya Temeke jijini Dar es Salaam.

Waziri mkuu, Majaliwa: Akitoa hotuba baada ya kumalizika kwa sala ya Eid Al Hajj leo Mwembe Yanga.
Waziri mkuu, Majaliwa: Akitoa hotuba baada ya kumalizika kwa sala ya Eid Al Hajj leo Mwembe Yanga.

Waziri mkuu ameswali swala ya Eid Al Hajj pamoja na waumini wa kiislamu katika viwanja hivyo mapema leo asubuhi.

Waislamu wa Tanzania leo wanaunga na waislamu wote duniani kote kusheherekea sikukuu ya Eid Al Hajj.

Tovuti hii inawatakiwa Eid Mubaraka waislamu wote nchini.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *