Tamasha la Sauti za Busara linatarajia kufanyika tena mwakani baada ya kusimama mwaka huu kutoka na sababu mbali mbali.

Waandaaji wa Tamasha hili wametoa orodha ya wasanii watakaotumbuiza katika Tamsha hilo la Sauti za Busara kama ifuatavyo..

Freshlyground (South Africa); Rocky Dawuni (Ghana); Yamoto Band (Tanzania); Sarabi (Kenya); Pat Thomas & Kwashibu Area Band (Ghana); Simba & Milton Gulli (Mozambique); Jagwa Music (Tanzania); Bob Maghreb (Morocco); Karyna Gomes (Guinea Bissau); Sami Dan and Zewd Band (Ethiopia);

Wengine ni Chibite Zawose Family (Tanzania); Rajab Suleiman & Kithara (Zanzibar); Wahapahapa Band (Tanzania); Buganda Music Ensemble (Uganda); Batimbo Percussion Magique (Burundi); Kyekyeku (Ghana); H_art the Band (Kenya); Grace Barbe (Seychelles); Roland Tchakounté (Cameroon / France);

Pia Imena Cultural Troupe (Rwanda); Isau Meneses (Mozambique); Jessica Mbangeni (South Africa); Sahra Halgan Trio (Somaliland); Tausi Women’s Taarab (Zanzibar); CAC Fusion (Tanzania); Ze Spirits Band (Tanzania); Loryzine (Reunion); Madalitso Band (Malawi);

Mswanu Gogo Vibes (Tanzania); G Clef Taarab Orchestra (Zanzibar); Afrijam Band (Tanzania); Cocodo African Music Band (Tanzania); Kiumbizi (Pemba / Zanzibar); Rico and the Band (Zanzibar); Usambara Sanaa Group (Tanzania); Mcharuko Band (Zanzibar); Taarab – Kidumbak Group.

Tamasha hilo linatarajiwa kufanyika visiwani Zanzibar mwakani na kushirikisha wasanii mbali mbali wa ndani na nje ya nje.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *