Baada ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kuvamia ofisi za Clouds Media akiwa na askari wenye silaha, Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameandika waraka kwa rais Magufuli kuhusu sakata hilo.

Tundu Lissu ambaye pia ni rais wa chama cha wanasheria nchini TLS amemtaka Rais Magufuli kutengua uteuzi wa mkuu wa mkoa huyo pamoja na kumchukulia hatua stahiki kamanda aliyeruhusu askari kuongozana na mkuu wa mkoa huyo.

lissu

waraka

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *