Kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga ametangaza kikosi cha wachezaji 26 kwa ajili ya maandalizi ya mechi ya kirafiki ya kalenda ya FIFA.

Kikosi hicho chenye wachezaji 26 kutoka timu tofauti zinazoshiriki ligi kuu Tanzania Bara kitaingia kambini hivi karibuni.

Wachezaji hao wataingia kambini kwa ajili ya maandalizi ya michezo ya kirafiki iliyopo katika kalenda ya FIFA.

Golikipa                 

-Deo Munishi

-Aishi Manula

-Said Mohamed

Mabeki

-Erasto Nyoni

-David Mwantika

-Hassan Kessy

-Mohamed Hussein

-Salim Mbonde

-Abdi Banda

-Shomari Kapombe

-Gadiel Michael

viungo

-Himid Mao

-Jonas Mkude

-Said Ndemla

-Mzamiru Yassin

-Salum Abubakari

-Frank Domayo

Winga

-Simon Msuva

-Farid Mussa

 -Shiza kichuya

-Hassan Kabunda

Washambuliaji

-Mbaraka Yusuph

-Abdulrahman Mussa

-Ibrahim Hajibu

-Thomas Ulimwengu

-Mbwana Samatta

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *