Watu kumi awameuawa na wengine wamejeruhiwa baada ya maelfu ya watu kutoka kabila la Amharic kushiriki katika maandamano dhidi ya Serikali nchini Ethiopia katika mji wa kaskazini wa Gondar.

Waandamanaji hao wameitaka serikali kubadilisha uamuzi wake wa kuanzisha wilaya chini ya usimamizi wa kabila la Tigray.

Serikali ya Ethiopia imesema kuwa zaidi ya watu 10 wameuawa wakati wa makabiliano na polisi kuhusu eneo linalozozaniwa katika majuma ya hivi karibuni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *