Video ya wimbo mpya wa Mwana FA  ‘Dume Suruali’ aliomshirikisha Vanessa Mdee umetazamwa zaidi ya mara milioni moja ndani ya wiki mbili kwenye mtandao wa Youtube baada ya kufikia rekodi ya wimbo wa Darassa ‘Muziki’ nao ulitazamwa kama hivyo.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *