Video ya Nandy ‘Napona’ yarejea Youtube

0
59

Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Nandy amewataarifu mashabiki wake kuwa video ya wimbo wake Napona imerejea katika mtandao wa Youtube baada ya kutoweka gafla.

Baada ya siku ya Jana kutoka Video ya Napona na Baada ya Muda mfupi kufutwa gafla katika Mtandao wa Youtube sasa imerejea video.

Nandy Ametangaza kurudi kwa Video hiyo katika Mtandao wa Youtube na Kutoa Pole kwa Mashabiki zake kwa kusumbuka kauitafuta video hiyo siku ya jana.

“NAPONA VIDEO IKO KWA HEWAAAAA NOW… GUSA LINK HAPO JUU KU ENJOY MZIKI MZURI!!!

Poleni mashabik zetu kwa usumbufu bwana hacker alipita na youtube na kufuta video but tumeanza upyaaaaa

LEAVE A REPLY