Siri moja ya tofauti kubwa ya wasanii wa siku hizi na wasanii wa miaka ya nyuma ni kuwa enzi hizo studio zilikuwa chache sana hivyo kupata nafasi ya kufanya kazi na prodyuza yeyote yule ilikuwa ni zaidi ya kuwa na mistari mikali.

Prodyuza ambaye alikuwa anasifika sana kwa kuchunga mambo kibao ni P-Funk Majani ambaye baada ya mchujo wa aina hiyo alikuwa akibakiwa na vichwa vikali tupu na ndio maana mastaa wa wakati huo wanaendelea kuheshimika hadi leo.

Baadhi ya mastaa wakubwa waliokuwa chini ya Majani ni pamoja na Profesa Jay, Fid Q, Juma Nature, Jay Moe, Ngwear n.k

Msikilize Fid Q hapa.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *