Mshambuliaji wa Atletico Madrid, Fernando Torres amelazimika kukimbizwa hospitali baada ya kugongwa na kuangia kichwa kwenye mechi ya ligi kuu nchini Uhispania kati ya Atletico Madrid na Dipotivo ambapo mchezo huo ulimalizika 1-1.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *