Maonesho ya siku ya mavazi ya Swahili maarufu kama ‘Swahili Fashion Week’ yalifanyika Disemba 4 katika ukumbi wa Makumbusho ya taifa jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na wadau kibao.

Wanamitindo walionesha ubunifu wao siku hiyo kwa kuvalia mavazi ya kiafrika kwenye onesho hilo kubwa la masuala ya mitindo nchini.

Green Telecom Comapany Limited walikuwa miongoni mwa wadhamini wa maonesho hayo ya mavazi nchini.

Tazama video fupi kuhusu maonesho hayo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *