Mwanamuziki wa Bongo Fleva, Msami Baby afunguka kuhusu maisha yake ya kimuziki pamoja na Irene Uwoya kuolewa na Dogo Janja.

Msami amefunguka hayo wakati akifanyiwa mahojiano na aliyekuwa mtangazaji wa Ishi Kistaa.

Msami

Tazama mahojiano hayo hadi mwisho kwa ajili ya kumsikiliza Msami, Pia usisahau kusubscribe Youtube chanel yetu ijulikanayo kama Ishi Kistaa kwa ajili ya kupata taarifa zaidi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *