Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta toka amejiunga na Genk Januari mwaka huu kutoka TP Mazembe ya DRC amecheza jumla ya mechi 25 za mashindano yote, 18 msimu uliopita na saba msimu huu, akifunga mabao nane, matatu msimu huu na matano msimu uliopita.

Katika mechi hizo, ni 14 tu ndiyo alianza, 10 msimu uliopita na tatu msimu huu, wakati 11 alitokea benchi nane msimu uliopita na tatu msimu huu na mechi tisa hakumaliza akitolewa, sita msimu uliopita na tatu msimu huu.

Angalia baadhi ya magoli aliyofunga Mbwana Samatta toka ajiunge na Genk.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *