Real Madri jana iliibuka na ushinda wa 4-2 dhidi ya Kashima kwenye mechi ya fainali klabu bingwa dunia.
Magoli ya Real Madrid yamefungwa na Christiano Ronaldo aliyefunga Hat-trick na goli lingine likifungwa na Karim Benzema.
Magoli ya Kashima yamefungwa na Gaku Shibasaku aliyeshinda magoli yote mawili.