Karamoko Dembele ni mchezaji wa klabu ya Celtic Under 21 aliyezaliwa nchini Uingereza na wazazi kutoka Ivory Coast.

Mchezaji huyo amezaliwa mwaka 2003 na mpaka sasa ana umri wa miaka 13 lakini kipaji chake cha kusakata kabumbu kimekuwa cha hali ya juu.

Wachambuzi wa masuala ya mpira wanamfananisha mchezaji huyo na mshambuliaji wa kimataifa wa Argentina na klabu ya Barcelona, Lionel Messi kutokana na uchezaji wake na aina ya mguu anaoutumia mchezaji huyo.

Leo tunakuletea video yake ili uweze kuthibitisha uwezo wake kama kweli anafanana na Lionel Messi au maneno ya tu ya wachambuzi?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *