Staa mpya Bongo, Harmorapa ambaye tangu aanze kujulikana kwenye uwanja wa burudani wa Bongo hajafikisha hata miezi mitatu ameamua KUTOA DONGO!!

Harmorapa ambaye alianza kujulikana kwa kujipa jina hilo na kudai anafanana na staa wa lebo ya WBC, Harmonize ameachia ngoma yake ya pili inayoitwa KIBOKO YA MABISHOO huku ikitajwa kuwa ni ngoma maalum kwa wale waliomwita majina ya kejeli na dharau akiwemo mchezaji wa Diamond Platnumz Mose Iyobo.

Umeisikia ngoma hiyo na anachokizungumza rapa huyo?

Huenda yaliyosemwa na mastaa wakiwemo Fid Q, P-Funk Majani na Kala Jeremiah.

Isikilize ngoma hiyo.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *