Lile penzi la mastaa, Harmonize na Jacqueline Wolper amble lilianza kwa mbwembwe na madoido ya kila aina kisha likaja kukatika kama tui la nazi sasa linapambaniwa tena.

Baada ya Wolper kutangaza ‘kung’atuka’ penzini huku Harmonize akitetea kua ‘mapenzi yao yako moyoni’ na sio mtandaoni, hatimaye ametumia MITANDAO hiyo hiyo kuomba ‘warudiane’.

Tazama video hii.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *