Video ya foleni ndefu ya magari Kusini mwa Jimbo la California nchini Marekani huku wengi wakisema huenda ndiyo foleni mbaya zaidi kuwahi kutokea duniani.

Video hiyo ilipigwa kwa kutumia helikopya ya shirika la habari na inaonesha magari yakiwa yamekwama katika barabara nambari 405 katika mji wa Los Angeles juzi Jumanne, Nov. 22.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *