Msanii wa vichekesho kutoka nchini Kenya, Eric Omondi ameachia video yake aliyoigiza movie ya Gods Must Be Crazy iliyoigizwa na msanii Bush Man lakini yeye akaibadilisha na kuita Gods are not Crazy We Are. Itazame video hiyo hapa kwa mara ya kwanza.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *