Uwanja mpya wa Tottenham utakavyokuwa

0
410

Tottenham imenza kujenga uwanja mpya utakaotumiwa na klabu hiyo kuanzia mwaka 2018 utakapokamilika.

Uwanja huo utakuwa unaingiza mashabiki 61,000 utakuwa ndio uwanja mkubwa zaidi wa katika jiji kuu la London utakapofunguliwa mwaka 2018.

Pia uwanja huo Miongoni utakuwa na baa kubwa zaidi ya kuhudumia watu wote waliopo uwanja hapo huku viti vyake vitakuwa na mitambo ya kubadili viwango vya joto.

white-hart-lane-spurs-new-stadium_3322923

Kutakuwa pia na kiwanda kidogo cha kutengeneza pombe na pia kiwanda kidogo cha kuoka mikate na keki.

Uwanja huo utakuwa na sakafu iliyopandwa nyasi ambayo inaweza kuondolewa na chini yake kutokee sakafu ya mkeka.

Kutokana na mambo hayo uwanja huo unaweza ukawa mwenyeji wa mechi za kandanda, NFL matamasha pamoja na hafla nyingine.

LEAVE A REPLY