Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nasari amemshauri mbunge mwenzake Zitto Zuberi Kabwe, kuongeza ulinzi madhubuti ili kujiweka salama.

Kwenye ukurasa wake wa twitter Joshua Nasari ameandika ujumbe huo, akisema kwamba kuna haja ya Zitto Kabwe kufanya hivyo kwani wakati uliopo sio salama tena.

“Nadhani ni wakati sahihi sasa ndugu yangu Zitto Kabwe ukaongeza ulinzi wako binafsi, nyakati hizi si salama tena kama tudhaniavyo”.

chademaprobepic-1

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *