Uongozi wa chama cha wananchi (CUF ) mkoa wa Kusini Pemba umesema hawaitambui  ziara ya Profesa Ibrahimu Lipumba kisiwani humo.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi wa ulinzi na usalma wa chama hicho  mkoa wa Kusini Pemba Yusufu Salim Hussen ambae pia ni mbunge wa jimbo la chambani.

Wakizungumza  kisiwani Pemba baadhi ya wanachama wachama CUF kisiwani Pemba wamesema Profesa Lipumba nimtanzania na hazuiwikuja Pemba kwa vile anahaki sawana mtanzania yeyote ila hawata kubali kuzungumzanae katika masuala ya chama.

Uongozi wa CUF mkoa Kusini Pemba wamefanya mkutano huo kufatia tetesi zilizo zagaa kisiwani Pemba kuwepo ziara ya Profesa Ibrahimu Lipumba hivi karibuni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *