Umoja wa mataifa (UN) umetaka kusitishwa kwa haraka mapigano yanayoendelea katika mji wa Alleppo nchini Syria.

Umoja huo umesema kuwa kumekuwepo na mapigano makali baina ya majeshi ya serikali na makundi ya waasi ambapo imewaacha watu zaidi ya milioni mbili bila makazi maaulum.

Pia tahadhari kuhusu usambazwaji wa chakula na dawa upo katika hatari kufuatia kutengwa kwa wananchi nchini humo na katika siku za karibuni waasi walifukuzwa na majeshi ya serikali yaliyopo mjini Aleppo.

syria-war

Shirika la habari la serikali la Syria limeripoti kuwa majeshi ya serikali yamefanikiwa kurudisha majimbo yaliyokuwa mikononi mwa waasi katika mji wa kusini magharibi mwa mji iliyokaliwa na waasi.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *