Mamlaka nchini Afrika Kusini imewapeleka maafisa wa polisi katika baadhi ya vyuo vikuu ili kusaidia maandamano ya wanafunzi wakati wa ufunguzi wa vyuo hivyo.

Maelfu ya wanafunzi waliandamana mwezi Oktoba mwaka jana ili kupinga hatua ya serikali ya kuongeza karo kwa mwaka.

Students protest over planned increases in tuition fees in Stellenbosch

Wanafunzi hao wametaka kupewa elimu ya bila malipo kitendo ambacho kimepingwa na Serikali ya Afrika Kusini.

Viongozi kadhaa wa wanafunzi waliokamatwa wakati wa maandamano hayo bado wanakabiliwa na mashtaka.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *