Ujenzi wa Hospitali na Chuo Kikuu cha Sayansi Muhimbili (MUHAS) kampasi ya Mloganzila umemalizika Agosti 31 mwaka huu na inatarajiwa kuanza kutoa huduma ifikapo Januari mwakani.

Akizungumza na waandishi wa habari katika ziara ya kutembelea eneo hilo makamo mkuu wa Chuo cha MUHAS, Ephata Kaaya amesema kuwa chuo hiko kinatarajia kudahili wanafunzi 15,000.

Makamo huyo wa Chuo hiko ameongeza kwa kusema kuwa “Jengo hili ni maalumu kwa kufundishia wataalamu wa masuala ya afya lakini pia litatoa huduma ya hospitali kwa wagongwa mbali mbali na ina uwezo wa kulaza wagonjwa 571 pamoja na vyumba vya upasuaji 13.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *