UEFA yachezesha droo ya mechi za mtoano klabu bingwa Ulaya

0
150

Shirikisho la soka barani Ulaya UEFA limechezesha droo ya mechi za mtoano kwa ajili ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya

UEFA limechezesha droo ya mechi za mtoano kuelekea michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya ambapo mechi za kwanza zinatarajiwa kuchezwa Agosti 16 na 17 na marudiano itakuwa Agosti 23 na 24.

Drow

LEAVE A REPLY