Shirikisho la Soka barani Ulaya (UEFA) limechezesha droo ya nusu fainali ya klabu bingwa barani humo kwa timu nne.

Katika droo hiyo Real Madrid watakutana na wapinzani wao wa Jadi Atretico Madrid huku mechi ya kwanza ikifanyika katika uwanja wa Santiago Bernabeu Mei 2 na mechi ya Marudiano itafanyika Mei 10.

droo-uefa

Monaco ya Ufaransa itakutana na Juventsu ya Italii kwenye mechi ya nusu fainali hiyo itakayofanyika kwa mechi ya kwanza nchini Ufaransa Mei 3 na marudio itafanyika Mei 9 mwaka huu.

Fainali ya michuano hiyo itafanyika katika uwanja wa Cardif City nchini Wales mnamo mwezi wa tano mwaka huu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *