Mechi za klabu bingwa barani ulaya ziliendelea tena usiku wa kuamkia leo, ambapo kulikuwa na jumla ya michezo minane.

Manchester City wakiwa nyumbani wamelipa kisasi dhidi ya Barcelona kwa kuifunga magoli 3-1.

Washika bunduki wa london Arsenal waliendelea kudhihirisha ubabe wao mbele ya Ludogorets Razgrad ya Bulgaria kwa ushindi wa 3-2

Atletico Madrid wakiwa nyumbani waliibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya FC Rostov.

Bayern Munich ikaifunga PSV Eindhoven 2-1

Matokeo mengine ni kama ifuatvyo

Basel 1-2 Paris Saint Germain

Besiktas 1-1 SSC Napoli

Benfica1-0 Dynamo Kyiv

Bourussia Moenchengladbach 1-1 Celtic

Manchester City 3-1 Barcelona

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *