Mwanamuziki maarufu wa Marekani, Tyga amejiunga na lebo ya G.O.O.D. Music inayomilikiwa na rapa Kanye West.

Yeezy alitoa tangazo hilo wakati wa show yake jijini New York hapo jana.

Tyga ana ukaribu na Kanye West kwa muda mrefu kwakuwa ana uhusiano na shemeji yake, Kylie Jenner ambaye ni ndugu na Kim Kardashian.

Hata hivyo bado Young Money na Cash Money zinamtaja kwenye website zake kama msanii wake.

Tyga
Tyga

Tyga anaungana na Desiigner na wasanii wengine walio chini ya labo hiyo ya G.O.O.D Music inayomilikiwa na Kanye West.

Tyga anakuwa na msanii wa pili kuhiama leboya Young Money na Cash Money baada ya Lil Wayne kuondoka katika lebel hiyo baada ya kucheleweshwa kutoka kwa albabu yake mpya.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *