Rais wa Chama cha Mawakili na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu leo amefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam akikabiliwa na kesi ya uchochezi.

Lissu amefikishwa mahakamani hapo majira ya saa nne asubuhi ambapo amesomea makosa ya uchochezi.

Tundu Lissu alikamatwa July 20, 2017 akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaam akielekea Rwanda kwenye mkutano wa Mawakili.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *