Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amesema kuwa hatoanzisha uchunguzi mwengine kuhusu barua pepe za Hillary Clinton ili kumsaidia kujiuguza.

Mshauri mkuu wa Trump, Kellyanne Conway amesema kuwa Trump hatotekeleza ahadi yake ya kumteua mwendesha mashtaka ili kumchunguza aliyekuwa waziri wa maswala ya kigeni Hillary Clinton.

Trump alitishia kumfunga jela Bi Clinton na katika mikutano yake wafuasi wake walimuungan mkono kwa kusema mfunge jela.

Mkurugenzi wa shirika la kijasusi nchini Marekani James Comey alimuondolea makosa bi Clinton.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *