Michuano ya kombe la dunia inatarajiwa kutimua vumbi nchini Urusi hapo mwakani ambapo hadi sasa jumla uya timu 17 zimefuzu michuano hiyo.

Timu zilizofuzu michuano hiyo mwakani ni kama ifuatavyo.

 1. Urusi
 2. Germany
 3. England
 4. Spain
 5. Brazil
 6. Nigeria
 7. Iceland
 8. Iran
 9. Japan
 10. Mexico
 11. Korea Kusini
 12. Saudi Arabia
 13. Costa Rica
 14. Egypt
 15. Serbia
 16. Poland
 17. Belgium

Mechi nyingine za kufuzu kwa mashindano hayo zinategemewa kuchezwa leo katika viwanja mbalimbali.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *