Tume ya vyuo vikuu nchini TCU, imevizuia vyuo sita kufanya udahili wa wanafunzi kwenye muhula mpya wa masomo wa 2016/2017.

TCU imechukua hatua hiyo kutokana na vyuo hivyo kutokidhi viwango vya elimu vilivyokuwa vikiitoa kwa waanafunzi wanaosoma ndani ya vyuo hivyo.

Vyuo vilivyozuiliwa kufanya udahili huo kwenye msimu  wa masomo wa 2016/2017 ni kama vifuatavyo.

 1. International Medical and Technological University (IMTU) – all programmes.
  2. St. Francis University College of Health and Allied Sciences (SFUCHAS) – all programmes.
  3. University of Bagamoyo (UoB) – all programmes.
  4. St. Joseph University College of Engineering (SJUCET) – all programmes.
  5. University of Dodoma (UDOM) – Doctor of Medicine Programme
  6. State University of Zanzibar (SUZA). – Doctor of Medicine Programme.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *