Muigizaji wa Bongo Movie, Wema Sepetu, amejikuta katika wakati mgumu baada ya picha za faragha na akiwa na bwana ake kuvuja mtandaoni.

Picha hizo zilizovuja zimewaonyesha wakiwa bafuni kwenye mahaba mazito. Inasemekana jina la mwanaume huyo ni Bakari Kila na kwa habari za chini ya kapeti zinadai kuwa mwanaume huyo ameoa na ana familia.

wemas

Inasemekana kuwa aliyevujisha picha hizi ni mtu wa karibu wa Wema kwani inavyoonekana hapo Wema ndiye alikuwa anapiga picha hizo. Mtu huyo aliyevujisha alisikika akiongea:

Habari zilizopo zinadai kuwa kuna janga kubwa linaendelea baina yao, inasemekana kuwa bwana huyo wa Wema sio tu mume wa mtu bali pia ni muuza madawa ya kulevya na inavyosemekana kwa sasa yupo jela mjini Moombasa, Kenya.

Pia inasemekana kabla ya kutupiwa rumande bwana Bakari alikuwa na mkwanja mrefu sana ambao uliweza kumtuliza Wema mpaka akatulia na kuacha makeke ya mjini.

Pia picha hizo zimeonekana kuwakera sana mashabiki wa Wema hadi kuishia kumtolea mapovu makali.

sepenga

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *