Aliyekuwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samuel Sitta amefariki dunia usiku wa kuamkia leo wakati akipatiwa matibabu nchini Ujerumani.

Kiongozi huyo inadaiwa alifikwa na mauti saa 7:30 kwa saa za Ujerumani alikopelekwa katikati ya mwezi uliopita kwaajili ya matibabu.

Rais Magufuli ametumia Spika wa Bunge, Job Ndugai salamu za rambirambi kufuatia kifo cha Mhe. Samwel Sitta ambaye ni spike mstaafu.

Bwana ametoa na Bwana ametwaa!!

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *