Muigizaji wa filamu za vichekesho nchini Marekani, Gene Wilder amefariki dunia akiwa na miaka 83.

Muigizaji huyo kifo chake kimetokana baada ya kuugua ugonjwa wa kukosa fahamu kitaalamu unaitwa { Alzheimers}.

Wilder aliwahi kucheza filamu maarufu ya ”Willy Wonka-The Chocolate Factory” iliyoigizwa nchini Marekani miaka ya nyuma.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *