Rais wa Jamhuri ya Muungao wa Tanzania na amiri jeshi mkuu, John Pombe Magufuli amekutana na kufanya mazungumzo na makamu mwenyekiti wa kamisheni kuu ya ulinzi la jeshi la ukombozi wa China (PLA),Jenerali Fan Changlong,Ikulu jijini Dar es salaam.

Viongozi hao wamezungumzia ushirikiano na uhusiano wa muda mrefu wa nchi hizo mbili za China na Tanzania katika nyanja mbali mbali za ikiwa pamoja na masuala ya ulinzi ambapo jeshi la wananchi wa Tanzania (JWTZ) limekuwa na ushirikiano na jeshi la ukombozi la watu wa China.

whatsapp-image-2016-11-21-at-15-25-40

 

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *